Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Tila Lila
Jay Melody
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Jini X66
Jay, once again
Oh, Lord
Mi nshakwambia mi-, mi nshakwambia
Siwezi mambo kukurupukia
Una plani za watoto na ndoa hia, hia
Kama hujalewa nikuongeze beer
Kwenye haya mambo wenzako wanaumia
Vilio au, au haujasikia?
Tumeonana siku moja unaleta hisia
Hayo mambo siyapendi
Je utafahamu vipi ka napenda vanilla?
Utafahamu vipi ka napenda mpira?
Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
Ama kulewa tila lila?
Je utafahamu vipi ka napenda vanilla?
Utafahamu vipi ka napenda mpira?
Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
Ama kulewa tila lila?
Jamani tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Au kulewa tila lila
Jamani tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Au kulewa tila lila
Once again
Ushai?
Mm
Kwani utoa lini? Bado nipo, nipo kwanza
Unasema, "Bado nipo, nipo sana"
Umeniona njiwa unanitega kwa mtama, oh
Kama unaniacha
Niache nifanye mambo mengine (niache)
Nipe nafasi nipende viumbe wengine (oh)
Unaiona potะตntial na unaidai mpaka mwisho
Unaing'ang'ania line leo, leo hungoji kะตsho
Nikisema ntakuoa kwa sasa nakudanganya
Tunza moyo wako atatokea tu kijana
Unaniita tu mpenzi na mapenzi yenyewe hakuna
Jichunge we mtoto zitafika tu hizo zama, (ey)
Vilio ni vingi na huja sababu ya haraka
Pupa zinaponza watu sio kuku sio paka
Kama nitafika mtaniona mapema
Sina kona, kona nikitaka ntasema
Una wahi wapi? Acha kuikimbiza shari (simidat)
Na uambiwe mara ngapi hii habari?
Kabla sijaondoka nikutakie kila la kheri
Sichezi ngumu kuipata nisipatikane kweli
Je utafahamu vipi ka napenda vanilla?
Utafahamu vipi ka napenda mpira?
Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
Ama kulewa tila lila?
Je utafahamu vipi ka napenda vanilla?
Utafahamu vipi ka napenda mpira?
Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
Ama kulewa tila lila?
Jamani tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Au kulewa tila lila
Jamani tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Tila lila, (tila lila)
Au kulewa tila lila
Once again (music)
ย