Skip to content

Neema

Ruth Wamuyu
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Umsifu bwana Usiyasahau alokutendea Roho yangu amka Umsifu bwana Yeye mwaminifu Mungu asiyesindwa Roho yangu amka Msifu bwana Amka amka Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Ninayafahamu Majaribu yako Mateso yako Ninayajua Usikufe moyo Usihangaike Roho yangu Amka Msifu bwana Hallelujah Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Ndukanariganirwo Ni maria anaguikira Ngoro yakwa ukira Mugoce Mwathi We ni mwagiriru Ngai utahotaguo Ngoro yakwa ukira Mugoce Mwathi Ukira ukira Ukira Ngoro yakwa ukira Ngoro yakwa Ukira Mugoce Mwathi Ngoro yakwa ukiraa Ukira Ngoro yakwa ukira Ngoro yakwa Ukira Mugoce Mwathi Tondu ni mwagiriru Ukira Ngoro yakwa ukira Ngoro yakwa Ukira Mugoce Mwathi Hallelujah Ukira Ngoro yakwa ukira Ngoro yakwa Ukira Mugoce Mwathi Wooi ndugakue ngoro Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Oooh Hallelujah Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Usikufe moyo Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana Usikife moyo Amka Roho yangu amka Roho yangu amka Msifu bwana The end