Twende Kwa Yesu
Dan Em
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
1st year MBChB UoN.
Nakualika, nakualika nawe ndugu yangu
Njoo tuende kwake Bwana Yesu
Twendeni
Tukamueleze shida zetu zote yeye anaweza yote
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Yeye mwenyewe alisema
Njooni kwangu nyinyi nyote msumbukao
na kulemewa na mizigo
na Mimi nitawapumzisha
Nakualika, nakualika nawe ndugu yangu
Njoo twende kwake Bwana Yesu
Twendeni
Tukamueleze shida zetu zote yeye
anaweza yote
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Yeye mwenyewe alisema
ombeni, ombeni, ombeni,
mtapewa tafuteni mtapata
bisheni hodi mtafunguliwa
Nakualika, nakualika nawe ndugu yangu
Njoo twende kwake Bwana Yesu
Twendeni
Tukamueleze shida zetu zote yeye anaweza yote
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Tujikabidhi mbele zake
Bwana Yesu anatuponya na magonjwa
magonjwa ya mwili na ya roho
tukiwa na imani kwake
Nakualika, nakualika nawe ndugu yangu
Njoo twende kwake Bwana Yesu
Twendeni
Tukamueleze shida zetu zote yeye
anaweza yote
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji
Unangoja nini wewe
twende twende twende
twende kwa Yesu
wala usiogopee
wala usi site site
twende pamoja
usibaki nyuma twende
twende pamoja
usibaki nyuma twendeeee
Thank you All.