Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Taliban
Thirtyfourbrick
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Grrr Thirtyfourbrick
Block imesunda
Block imesunda clips
Stick with my knife like chuky
Niko kwa bando na serve hawa majunky
Big dawg siezi roll nama bitch
Big dawg nyi wengine mapuppy
Hizi streets tuko daily ka duppy
Watoto wamama waki changiwa nappy
Kuna shugli me sijai gappi
Monkey biz ukileta unabaki
Nimepiga arafat mi ni Taliban
Keep it lowkey
Wacha mambo man
Fala alichochwa na mneti akaanza kuplug
Nikipiga scene no face na nikizidi no case
Nikipiga scene no face na nikizidi no case
Niki piga scene msibonde
Dawa ya mtoto sikunywangi pombe
Nikimuok lazima wasonge
Nipate marima nawasha magode
Ni leo anaku cha shoke
Na grind mkoro asichoke
Nipate eastlando haha
Nipate eastlando deep kwa matope
Kaa rada ya mambanga
We jua ni madanda
Kwa pori niko na punch
Ukibonga mbaya utakula hii punch
Mongre iko steady
Sa ya mboka eveready
Mambo ya warazi mi sipendi
Wanabonga sana wanabonga mengi
InshAllah itajipa ndashika mapenny
Ndashika mabenji ndalipa madeni
Ukipata nimejaa nakatanga keki
Utakula maheadie Zidane
Kwani wangapi hujichocha wakarun
Wanadai beef na ham
Watoto wamama wanafanya nijam
Ka una mambo unani linki
Usini ngore use your mind
Siezi lala bila kugrind
Siezi lala bila kugrind
Tumekaza kwa biz utanidigi hadi magiz
Aah utanidigi aah utanidigi hadi magiz
Tunapona marezi tunavuta warazi kaa fegi
Amebeba na mwaga kwa jegi
Kama niko sober napona mapedi
Usibonge mob utakula mob
Kimbokta sikuwa na bob
Cheki G wacha kuslug
Wachapupa we si thug
We si thug
Tukifika
Thirtyfour ndio hood
Thirtyfour ndio hood
Na hatuko kwa mood
ย