Skip to content

Sikuoni

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Yeah... B O B shorobaro Oh haha (yeah) oh yeah Nakuomba unanitosa wakati mimi sina kosa Elewa unanichosha mamlaka nitoe posa Bila wewe siwezi uhai wa kazi gani Sina hali ya uzima come on Rudi nyumbani Angalia mwenzako natokwa machozi ya damu Unanikatalia sababu mimi sio handsome Na miss utundu wako na miss pozi zako Na miss vitu vingi kwangu hakuna zaidi yako Mummie uh nilikupa ngazi ya juu Nilifahamu utatesa moyo wangu Majukumu nilishachoka kwako vikopa kopa Njoo unipe mapenzi hah si unaogopa ogopa Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio Sana nimevumilia aaah Nielewe mummy njoo Ukiniona nalia Naumia wangu moyo Na baridi naumia aah Nipe joto Mummy njoo Alikiba mimi nalia sikuoni mwenzio Sana nimevumilia aaah Nielewe mummy njoo Ukiniona nalia Naumia wangu moyo Na baridi naumia aah Nipe joto Mummy njoo Nikizungumzia mapenzi alright Nimzungumzia shetani wa mahaba Asiyependa kumuona AliKiba Akiwa nawe milele mpaka kufa Lakini sikuonii hii Mimi nakutafuta mji mzima Nakutafuta hewani Nikipiga simu yako unazima Where are you Mummy njoo? Nikudalike kidali poh Wasaka mmerahaa Basi njoo tucheze kombolela Wananicheka everyday nalia Hawajua ninacholilia Wanasema una Hirizi ya haula Wana nichek nikilia wacha nilieee Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio Sana nimevumilia aaah Nielewe mummy njoo Ukiniona nalia Naumia wangu moyo Na baridi naumia aah Nipe joto Mummy njoo Alikiba mimi nalia sikuoni mwenzio Sana nimevumilia aaah Nielewe mummy njoo Ukiniona nalia Naumia wangu moyo Na baridi naumia aah Nipe joto Mummy njoo Ni mazingira mengi wajua Ninavyohangaika na jua Kali la mchana lachoma Akili yangu yote ishanoa Ni kweli ukizungumzia mapenzi alright Wazungumzia shetani wa mahaba Ila kwa penzi lako walilinda The way unavyofanya unaringa Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima Nakutafuta hewani nikipiga simu yako umezima Where are you Mummy njoo? Nikudalike kidali poh Wasaka mmerahaa Basi njoo tucheze kombolela Alikiba mi nalia Alikiba mi nalia Sikuoni mwenzio Sana nimevumilia Nielewe mammy njoo oh, oh Sikuoni mwenzio Alikiba, B.O.B, Shorobaro