Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Unatosha
Eunice Njeri
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
(Nimeubeba msaraba wangu nikufuate wewe uliyenipenda nimeitua mizigo yangu kwako nakufuata wewe unayenipenda)ร2
Unatosha... wanitosha... Mungu wa agano wewe wanitosha)ร2
Nasalimu amri yako eeh Baba sauti yako nimeisikia.umenivuta Bwana karibu nawe karibu zaidi natamani niwe)ร2
ร2
Moyo wangu u sawa sioni hofu wanitosheleza wanitoshaa mwingine mie sina wewe wanitosha wanitosha wanitosha
ร2
ย