Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Nisha Mpenda
Swallah Boy
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Niambie Kama sina dhaaman
Moyo wangu niufichee
Nimechokaan kurupushaan
Mikelele mdaah wotee
Mwenzako nakupenda sio utaanni
Hayo maneno yasikutishee
Eti me natoka na jeraaanii
Oooh naa naa naaaah
Mwenzako nataka nizae na wewe
Mana we ndo ubavu wangu mwenyewe
Ninachotaka nipeweeeeh mmmh mmmh
Yani uko simple ooh (Simple ooooh)
Fundi wa madiko dikoo ooh (Dikoo oooh)
Mwenzenu chumbani ni mafurikooh ooh
Rahazote anipa duniani nasahau ya before ooh
Mmmh baby slow down vile unavyo go down
Mimi kwako zobaa kwa yako mapenziii
Nitakungojaaa ataukiondokaa
Maana umenirogaa pengine siendiii
Ndo Nshampendaa
Ndo Nshampendaa Pendaaah
Ndo Nshampendaa
Ndo Nshampendaa Pendaaah
Ndo Nshampendaa
Ndo Nshampendaa Pendaaah
Ndo Nshampendaa
Ndo Nshampendaah Pendaaah
Fanya wabaya ziwaume nafsili
Unizalie na watoto
Ooh tuitwe baba na mama
Tupendezeeeh tujidai
Halafu baby mimi sipendi tugombaneeh
Ya nini baby mbele za watu tuzozaneee
Baby slow down vile unavyo go down
Mimi kwako zobaa kwa yako mapenziiii
Nita kungojaa hataukiondokaa
Maana umenirogaa pengine siendiiiii
Ndo Nnshampendaa
Kwenye shidaa na rahaa mieee
Ndo Nshampendaa Pendaaah
Ndo Nshampendaa
Ndo Nshampendaa
Sitotaka anikimbie
Ndo Nshampendaa Pendaah
Na yeye ananipendaaaa
Ndo Nshampendaa
Jamani kupendwaa rahaa
Ndo Nshampendaa Pendaah
Kupendwa naona raaaa
Ndo Nshampendaa
Alaah laah laah mmmh
Ndo Nshampendaa Pendaaah
Mmmm Hussein na Mateso the big boss
Jaxxx Ahhh
ย