Ntashinda
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Oh nanananana (Eeh)
Oh nanananana (Eeh)
Oh nanananana (Eeh)
Oh nanananana (Eeh)
Oh salamu zangu za kwanza
Ah ziende kwa Mola na mama
Za pili Chamng'aza
Wamwambie asante sana
Za tatu kwa dada yangu
Asma na Halima kimwana
Waambie wasijali,
Sijachoka napambana
Hii dunia ina mengi
Yenye hela na matatizo
Ogopa mapenzi
Kwa maana huwanga shinikizo
Hii dunia ina mengi,
Yenye hela na matatizo
Ila sio mapenzi
Ndio huwaga chanzo cha vita
Oh nanananana (unajua wananipinga)
Oh nanananana (tena naamini ntashinda)
Oh nanananana (hata wewe unapingwa)
Oh nanananana (ila amini utashinda)
Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh)
Yayayaya, oh tena yana matatizo
Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh)
Ili muradi wakuharibie
Ah Mola,
Oh nilindie rafiki zangu
Na uwape upendo ndugu zangu
Mola waamini mie na Tale wangu mimi
Na niwapende na mati zangu
Naonekana mjinga na kwetu nilifunzwa
Ndio maana kila wasema huwaga na funza
Vimaneno maneno, haviwezi niuguza
Sio siwezi, najua ndo chanzo cha vita
Oh nanananana (unajua wananipinga)
Oh nanananana (tena naamini ntashinda)
Oh nanananana (hata wewe unapingwa)
Oh nanananana (ila amini utashinda)
Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh)
Yayayaya, oh tena yana matatizo
Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh)
Ili muradi wakuharibie
Oh nanananana (unajua wananipinga)
Oh nanananana (tena naamini ntashinda)
Oh nanananana (hata wewe unapingwa)
Oh nanananana (ila amini utashinda)
Oh, ah ziende kwa Mola na mama
Ah, umwambie asante sana
Ooh, toa sama paukalamba
Ima umwabie Tumi asante sana
Hivi Tuji anaringa,
Qboy anaringa
Mara Rongi anavimba
Kuzusha zusha mwana
Chege anaringa,
Suta anavimba
Mkubwa Fela anaringa
ili mradi tulewe ma
Oh nanananana
Oh nanananana