Skip to content

Block

Thirtyfourbrick
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

34 hio ndio hood, round kaa una mambo Uki round una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa 34 ndio hood, round ka una mambo Uki round una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street Mpoa wako ana jipa kwa kila mandem kwa street One phone call mbogi, ina pull up na too much pressure Manze unajua tunameta, wanabaki wanateta Finger licking nikifunga wollan, quarter key Kwa mic mi ndio key, ma G Wana bonda design ya ki viking, we bado Una bluff we ni king, si ndio ma top G videvu siezi bahatisha kutupa Unafikiria slow kama tortoise Ndio maana kwa mboka, ume sleki Si ati ati na ugusa Ma G wamejipin, ma glock hatucheki 34 brick, si ndio talk of the town Tuna zoza kwa net, we ukibebwa kama pet Ukibebwa kama pet 34, hiyo ndo block Round ka una mambo Ukiround una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street 34, ndio hood Round ka una mambo Uki round una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7 tuna zoza kwa street Tuki slide toka east, mbaka west Rada chafu Lazima nda wapiga bakora ya bafu chafu Zuazua kwa kifua, risasi mara tatu Crooked, jambazi na napenda ku saksua hawa watu Wicked kwa ganji, only two splits Tuta zika mtu wa tatu Muli ni trace mbogi, bado mkabuya kitu mtaduu Mum iza, izo kilo misi Addict ni ku slung, tuna slang mihadharati Rumours umeskia kwa hood, niombe Acha kudhani, anapoteza wakati So vurugu si kitu, nilianza juzi Hii section usitry kukam na pupa na matusi Hii hood, utakula teke na mabuti Hii hood, yout amejipin na kidungi 34, hiyo ndo hood Round ka una mambo Ukiround una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7, tuna zoza kwa 34, ndio hood Round ka una mambo Ukiround una pigwa pigwa choppings Acha kudai, una hang na ma G 24/7, tuna zoza kwa street