Sitadanganya
Moji Shortbabaa
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Mmh...
eeeh eeh ni shorti baba na daddy Owen
Chochote nichacho aaah ni wewe swezi kudanganya
Na niendapo aah ni wewe swezi kudanganya
Iwe kiatu kwa mguu ama ni nafuu eeeh eeh
Nikipanda matatu ama nikiendanga kama matuu eeh
Milango unafungua singedhania eeh
Unanichanua wakinivamia aah
Aah so sita so sita mi sitadanganya
Eeh so sita so sita ni we umefanya
Eeh so sita mi sitadanganya eeeh
So sita so sita ni wewe umefanya
Chochote ninacho aaah ni wewe swezi kudanganya
Popote nilipo aah ni wewe swezi kudanganya
Eeh baba ni weeeee. Eeeh baba ni weee.eeh sitadanganya ร4
Naweza dai ni masomo lakini ni wangapi wamesoma wamechizi
Naweza dai ni ujanja lakini utacheka utasema i am kidding
Wala si nguvu na bidii si nguvu na bidii
Ni nguvu zako daddy ni nguvu zako daddy
Eeh... ni juu milango unafungua singejua
Ni wewe natambua si kifua iyeeh eeh eeh
So sita so sita mi sitadanganya eeeh
So sita so sita ni wewe umefanyaร2
Chochote ninacho aaah ni wewe swezi kudanganya
Popote nilipo aah ni wewe swezi kudanganya aaah
Baba ni wewe baba ni weweee.sitadanganya ร4
Chochote ninacho aaah ni wewe swezi kudanganya aaah
Na popote nilipo aah ni wewe swezi kudanganya
Baba ni wewe sitadanganya ร4
(Nikiota kwa mtaa nikiota kwa mtaa nikiota kwa mtaa ni wewe ulionanga)