Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
HADITHI
Thunderdrum; Assassin's Creed; Tiggs Da Author
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Hadithi zashujaa napata kwangu
Kama babu zangu kupitia hili panga
Hadithi zashujaa nitaiishi
Milele kwa sababu roho yangu haitokufa
Tutaimba, tutashinda
Kweli nipo tayari kwa vita
Kwa vita tayari kwa vita
Tutaimba, tutashinda
Kweli nipo tayari kwa vita
Kwa vita tayari kwa vita
Kwa vita
Hadithi zashujaa kuna ziwa
Limenasa chini ya macho yangu kwa sababu ya roho zilizopotea
Hadithi zashujaa nilivunja meno nilivyocheza
Kwenye mdomo wa kifo kulipiza kisasi kilikuwa ngoma yangu
Tutaimba, tutashinda
Kweli nipo tayari kwa vita
Kwa vita tayari kwa vita
Tutaimba, tutashinda
Kweli nipo tayari kwa vita
Kwa vita tayari kwa vita
Kwa vita
ย