Skip to content

Dunia

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Ujana maji ya moto na huyawezi kuyapasha Utatafuta maana, tena sana Lakini akili haitawacha kukuwasha Hakuna anayejua cha kufanya, usidanganywe Sote twajaribu kuyajaza haya mianya Oye maisha ni dakika Leo tupo, kesho si hakika Sema yote, piga picha Leo tupo, kesho si hakika Dunia barafu Hatuna madau Anza kuogelea Vunja mifupa kama bado meno ipo Usingoje siku za mwisho Cheza ngoma, jamani imba wimbo Usiogope hata siku za mwisho Jamani maisha ni magumu Maombi na saumu Nataka tu kuelea Oye maisha ni dakika Leo tupo, kesho si hakika Sema yote, piga picha Leo tupo, kesho si hakika Dunia barafu Hatuna madau Anza kuogelea