Skip to content

Kifo Cha Mende

Iyanii, Mwanaa & Cedo
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa(one time) Wee waka waka Waka! Cheza doba zitunice Ju zetu zimenice Mwanaa Sema uuuuh (nayo) uuuuh (nayo nayo) Wiiii yaa yaa Kwa majina ni Iyanii (nayo) Tunakujua! Cheza doba zitunice Ju zetu zimenice Cedo La la la Hako kapeng ni ka area Na kakitaka mi uichapa (chapa) Nakula kiapo ndai hapa Ajeee Sit don pon it Nikirusha mamistari Viungo we nengua Mwili hatari Whine and kotch Nishikishe mali Twende maeneo, chuma ilale ndani Iyanii bad boy, kijana ya ingo Napenda njugu na mukombero King wa mastyle napenda mastingo Kifo cha mende ama wagido Uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa Kufa dereva, makanga Leo ni kifo cha mende Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa Leo tunavunja kitanda Kudonjo, kudunda na yeye Nayo Nayo nayo (anguka) Nayo Nayo nayo (dunda) Nayo Nayo nayo (mimi) Nayo Nayo nayo Wayaya yah yah yah Maji imepatana na wire ya stima Hata haya sina Naipiga ni John Cena When I'm done you can't see me Aaah vuta kaya Harufu mbaya Ni ya majenge na mandukulu mbaya Unaishi wapi yahaya (aaii) Unatoka wapi ulaya Nyash yake soft Kama mattress Naipapasa inanitoa stress Kama mzinga nitakabless Na majirani watawitness Iyanii bad boy kijana ya ingo Napenda njugu na mukombero King wa mastyle napenda mastingo Kifo cha mende ama wagido Uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa Kufa dereva, makanga Leo ni kifo cha mende Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa Leo tunavunja kitanda Kudonjo, kudunda na yeye Nayo Nayo nayo (eeeh) Nayo Nayo nayo (dunda) Nayo Nayo nayo (mimi) Nayo Nayo nayo Aaah Pull up! Manake! Rudia tena! Uuuuh (nayo) uuuuh (nayo, nayo, anguka) Wiiii (nayo) yaa yaa (nayo nayo) Kufa (nayo) dereva makanga (nayo nayo) Leo ni kifo cha mende (nayo) Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa Leo tunavunja (nayo) kitanda (nayo nayo) Kudonjo kudunda na yeye (nayo nayo) Nayo