Skip to content

Victory Declaration

Neema Gospel Choir
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya YESU tuko salama Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Imetimia Kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia Kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia Kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia Kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama