Skip to content

Balaa || NaijaVibes.com

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Balaa, balaa Ana balaa, Ana balaa, balaa Ana balaa Mola amekaumba Kana kichuguu Na vinido dede Sura mviringo Zigo linayumba yumba Chini na juu amejaza mkebe Kananivunja shingo Shombeshombe rangi akitoka Dubai Ooh Dubai, ananichanganya Namganda kama ng'ombe na masai Oooh masai, hasi na chanya Eeeh, basi twende sawa Inde mama inde Fanya wainuka ipinde Inde mama inde Jifanye umepagawa Inde mama inde Fanya wainuka ipinde Inde mama inde Eeeh! Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa Anavyokata nyonga Balaa Mmmmh! Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa Ugali anavyosonga Balaa Na mtoto kachanganya na usomali Anakibinda mwana kanoga mwali Na akidondondo, kidondo mwali Na mi nashindilia ka msumari Mtoto kachanganya na usomali Anakibinda mwana kanoga mwali Na akidondondo, kidondo mwali Na mi nashindilia ka msumari Katoto kana changale Inawaka waka inawaka Mapaja ndondo falale Natapa tapa natapa Nateleza kama kambale Inanata nata inanata Dibwi kama nipo madale Nachapa chapa nachapa Akinipaga sikatai(Naichopepe) Natimbua papai(Naichopepe) Yaani mbwai mbwai(Naichopepe) Naipiga nailamba naiganda Naikaza ngingingi(Naichopepe) Yaani ndindindi(Naichopepe) Utamu mbilimbi(Naichopepe) Eeeh, basi twende sawa Inde mama inde Fanya wainuka ipinde Inde mama inde Jifanye umepagawa Inde mama inde Fanya wainuka ipinde Inde mama inde Eeeh! Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa Anavyokata nyonga Balaa Mmmmh! Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa Ugali anavyosonga Balaa Mmmh! Ona mtoto analimwaga Analimwaga mwaga, mwaga Yaani anavunja chaga Analimwaga mwaga, mwaga Kama kate la kumimina Analimwaga mwaga, mwaga Miuno feni anasigina Analimwaga mwaga, mwaga Kama kuku anataga!