Neno Lako Ni Taa
UPENDO NKONE
Popularity · Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Neno lako ni taa ya miguu yangu,
na nimwangaza wa njia zangu kila siku,
ninapotembea na popote ninapokuwa,
wewe unaniangazia nuru yako,
ninapotembea na popote ninapokuwa,
wewe unaniangazia nuru yako,
Oh! Yesu u
Hatanikiwa na huzuni moyoni mwangu,
Wewe Bwana wangu Yesu unanifariji,
neema yako yanitosha maishani mwangu,
unanishika kwa mkono wako wenye nguvu,
neema yako yanitosha maishani mwangu,
unanishika kwa mkono wako wenye nguvu
Hatanikiondokewa na mpendwa wangu,
tena mali zangu zote zijapo potea,
usiniache nimekutegemea Bwana wangu,
unishike kwa mkono wako ewe Yesu,
minajua hiyo ni moja ya mapito yangu,
kwa huruma zako utanipa tena mara dufu,
Oh! Yesu
Ninachojua mimi Bwana,
hautanicha kwame,
nikipita kwenye shida,
hautaniacha kamwe,
na jamii ikinitenga,
hautanicha kamwe,
marafiki wakimbie,
hautanivha kamwe
hata mume aniache,
hautaniacha peke yangu,
na mke wangu akimbie,
hautaniacha kamwe,
wazazi wangu wanifukuze mimi,
hautanicha kamwe,
kazini wanifukuze,
hautanicha kamwe,
na fitina nifanyiwe,
hautanipungukia Bwana,
hata uongo ninenewe,
hautaniacha peke yangu niaibike Bwana,
Oh! Yesu.