Skip to content

Shangilia

Essence Of Worship
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Anastahili sifa za mioyo yetu, hallelujah Hallelujah Vigelegele kwa Yesu Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Shangilia) Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Huyu Yesu Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Vigelegele kwa Yesu) (Sifa kwa mwanakondoo kanisa) (Eeh bwana) Eeh bwana, jina lako la milele Mungu nguvu la vizazi hata vizazi (Eeh bwana) Eeh bwana, jina lako la milele (Kumbukumbu la) Kumbukumbu la vizazi hata vizazi (Mataifa yote) Mataifa yote msifu bwana (Enyi watu wote humu ndani) Enyi watu wote mhimidini (Mataifa yote) Mataifa yote msifu bwana (Enyi watu wote mhimidini) Enyi watu wote mhimidini (Zaburi ya mia hamsini) Msifuni kwa mfumo baragumu Msifuni kwa kinanda na kinumbi (Msifuni kwa matari) Msifuni kwa matari na kucheza (Kila mwenye pumzi) Kila mwenye pumzi na msifu bwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Shangilia) Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia Msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia Piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia Msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka (Ohh Umetukuka) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Na Shangilia) Shangilia