Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Inatosha
Marioo
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Hata kama penzi ni maji masafi niacheni nanawaa
Mana yamenifika yamenifika hapaa, ingawa ntakonda, nimeridhia sawaa
Mana kila dakika me wakilionii
Kukikucha macho juu nakesha kulilia penzi kama kinda nlokosa mama ee mama
Afu shida so heshima tuu hata wanaomwingia wengi
Mwenzenu kupenda nishakata tama, tama
We acha itabaki kuwa historia japo sio kiroho safi
Na ya nini kun'gan'gania biashara tena yenye hasara
Na wala sisemi ntakuchukua japo moyoo hautaki
Na ya nini kun'gan'gana n'gan'gana
Mmm
Inatoshaa
Inatoshaa
Inatosha
Inatosha
Ni kwamba moyo mashine na imani ntapoa
Ihali sio ya kudumu naimani ntapoaa
Ni kwamba tumeumbwa kusahau naimani ntasahau
Ihali sio ya kudumu nitakusahau
Kama kukupenda si ilishindikana sawa sina chaguo
Mana japo itanisumbua sumbua itaniumbua umbua
Muchanga kwenye kitumbua tumbua, kwenye kitumbua tumbua
We acha itabaki kuwa historia japo sio kiroho safi
Na ya nini kun'gan'gania biashara tena yenye hasara
Na wala sisemi ntakuchukia japo moyo hautaki
Na yanini kun'gan'gana n'gan'gana
Mmm (Inatosha)
Acha nipambane na hali yanguu (Inatosha)
Mapenzi ya kupanda kushuka basi (Inatosha)
Mmmm utaniua (Inatosha)
Mmm utaniua nwenzako miee (Inatoshaa(
Remix killer
ย