Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Sifu Bwana
Khaligraph Jones
,
Nyashinski
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu)
Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
(Nakusifu)
Nikikanyaga kanyaga chini non-stop, shetani akemewe
(Nakusifu)
Ju hii mboka imejipa inani-nice
Nikijua for my freedom and you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae
Usishangae kuniona na upako
Na ukitaka mpe maisha yako
Na si utani ndio upate thamani
Usiwache shetani aku-kalie chapo (yeah)
We ndio hujua mahali huniweka
Sitishiwi na mali ama pesa
Ju, ya dunia ni ya kupita
Ipo siku mbinguni nitafika
Kanfanya msafi dhambi ukanfuta
Siezi kukupay for all this grace (facts)
Maisha yangu we ndio controller
Haijalishi nini me na-face
Sa mi ni mali ju yako wee
Omera tuliwacha ku sandoree
Eh, so tumsifu bwana
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima (one, two, three, hey)
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu)
Tena kila siku we ndio kila kitu
(Nakusifu)
Tena kila saa vile inafaa
Juu vile inafaa nataka nisifu (nakusifu)
Daily naona mkono wako (yeah)
We ndio unafungua milango (yeah)
Bado unatenda maajabu, amen
Siezi ata count time nimefikiria najua ukanishow we ndio bado bazeng
Kaa niko down, au niko juu
Haina issue najua vile hii story ina end
Twende na plan yako juu yangu ni kufuata penye unaongoza my friend
Yake ndio crown, hizi zingine hazinanga uzito mbele ya Elohim (yeah)
Naona mablessing, naona mapenzi
Amazing grace ni sound track ya play ya maisha ya mine
Naanzanga days na prayer na smile na peace of mind
Daily naona mkono wako
We ndio unafungua milango
Bado unatenda maajabu, amen
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu)
Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
(Nakusifu)
Nikikanyaga kanyaga chini non-stop, shetani akemewe
(Nakusifu)
Juu hii mboka imejipa inani-nice
Nikijua for my freedom and you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae
ย