Salimia Watu
Japhet Zabron
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Si kuna mungu mungu wa watu
Hutuweka pamoja
Huyu ni Dugu yule ni rafiki
Zote tu kitu kimoja
Huwe mwisiraeli uwe kabila la Juda
Mumba wetu mmoja
Sisi tuliumbwa na mungu
Kuishi kwetu ni mungu
Na uzima huu ni mungu
Waishi vipi vipi
Na watu wako wa mtaani
Hapa duniani utu kwa watu
Juu yake twaona upendo
Salimia watu salimia watu
Utu ni utu ongea na watu
Hujui ya kesho
Salimia watu
Utu ni utu waheshimu watu
Pesa huisha salimia watu
Utu ni utu ongea na watu
Ndio watakushika kesho
Salimia watu
Utu ni utu ongea watu
Hakuna jambo lisilo mwisho
Hata kwalo tujivune
Inchi ni uhai vitu na Mali
Hivi vyote ni vya mungu
Dunia hii iko vita
Na njia yetu ni mmoja
Kuna kifo na huzima
Je! unatenda ya mungu
Unatimiza ya mungu
Wamtegemea mungu
Kwa wema wenu
Hawa watu twawa na
Upendo upendo wa Mungu
Anatupenda hutuwazia mema
Kila siku