Skip to content

Tumetumwa Na Yesu

Upendo Nkone
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Roho i radhi lakin mwili ni dhaifu sana Aliyasema hayo bwana akiwa getsamane taji ya miba alivikwa Damu nyingi ilitoka hiyo yote ni kwa sababu mimi na we tuokolewe Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki damu na maji Vilitoka akalia sana eloi eloi Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha Ilipofika sa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu akakata roho yesu Alizikwa na siku ya tatu kafufuka yuko juu mbinguniii kuandaa makao Hata na wewe ndugu yangu uache maovu mrudie mungu Atakupokea utakuwa mwana wake leo na milele utaishi nae