Skip to content

HATUTAKI KESI

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nikionana nao nakaa nao Nakula nao, nacheka nao Bila kujua kuwa mi ni mbaya wao Kwenye sala zao Mmmh, kaa la gabao Wanasema dunia dunia salamu zao Mitaa inanilinda sina bodyguard Star pia nini, check cheki dress code Black sitopiga uniite blackboard Na njia nayopinda inaitwa rough road Sichagui bana Sibagui sio rafiki sio adui bana Ataye nizika kwani nani simjui bana Sikagui gwara, tano chui, tano swala I and I, ready to die Plata o plomo Live or die Nikiwa booth natema truth Lie nazi - Usilete uzushi nitakushoot Uvishwe suti na mabuti mahututi Ulale kwenye jeneza hata kama una bullet Angalia wana snichu snichu Mungu mwamuzi na kifo Hatutaki kesi, wanatupa kesi Zao kesi, tunamada kesi Hatutaki kesi, wanatupa kesi Zao kesi, tunamada kesi Najua dunia sio fair Maisha sio fair Mziki sio fair Ila mimi siko pair Ya nini haya mawazo niko na pusha napepea Kwa nini matangazo kutwa kucha kwao umbea Charts on air, kanisogea Ooh basi ngojea au ras otea Imekuwa truth tena sio simulizi Namada niko booth na machizi, lets get busy Tumeunga crew kama Young Money, Cash Money Na mi ndo Lil Wizzy We nyani haupendi rap yako ndizi Waambie nyumbani mpwa wao anawapenda mla ndizi Wape na machizi, mi ndo mchizi kichizi Harakati kama hizi, siku tupigapo mbizi Ah, lights off feel the music Show love baba feel the flow Bye bye haters, bye wazushi Sina rafiki, rafiki ni dog Napenda muziki, nacheza muziki Show love shabiki na itoke kwa roho Baba yangu muziki, baba yangu muziki Haukalii hichi kiti utauliwa na flows Angalia wana snichu snichu Mungu mwamuzi na kifo Hatutaki kesi, wanatupa kesi Zao kesi, tunamada kesi Hatutaki kesi, wanatupa kesi Zao kesi, tunamada kesi Ikibaki changama huwa siridhiki Yeah wananiandama ila sishikiki Ila baba anabless anatetea Na wahuni mpaka west, tunabembea We dhamini Baba God, anatetea Na ukitema mgodi, tunabembea