Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Korosho Na Pipi
Kasiva Mutua
Popularity · Low
+
Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
(Chant)
Rudini nyumbani, rudi nyumbani
Mama yuko njiani atuletea korosho
Rudini nyumbani, rudini nyumbani eh
Korosho na pipi, korosho na pipi, utachagua nini?
Rudini nyumbani, watoto wangu eh
Mama yuko njiani atuletea korosho
Jamani rudini nyumbani, rudini nyumbani
Korosho na pipi, korosho na pipi, utachagua nini?
Winji duonda biro kawuono gi'midhiambo
We agonu mbaka moro matin kawuono jopiny ... (chant)
Gimichamo emikwano, gimichamo mano ein
(Chant)
Omiyo tim yiero mari
(Chant)
Piny gi malo biro
Jowadwa polo ng'icho
Nyithindwa polo ng'icho
Polo ng'iyowa yawa
(Chant)
Mama yuko njiani atuletea korosho
Korosho na pipi, korosho na pipi, utachagua nini?
Rudini nyumbani, rudini nyumbani
Mama yuko njiani atuletea korosho
Korosho na pipi, korosho na pipi, utachagua nini?
Korosho na pipi, korosho na pipi, utachagua nini?
(Guitar interlude)
Rudini nyumbani, rudi nyumbani
Mama yuko njiani atuletea korosho
Rudini nyumbani, rudini nyumbani, eh