Skip to content

Akilia Mama

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mama mama mama (Yeaaah) mama mama mama mamaaa Mama mama mama mama mama mama mamaaa Mama mama (mama) Eeeeh eeeh Mama mama (mama) Mama mama (mama) Mama Mama Jiamini, Mama Jiamini, Mama Jiamini, Nakuomba nisikie Leo nimekuja, dhumuni na haja Nia yangu kujenga family Nimemuona sana, toka anasoma Shule ya Mandela, mjini Nakuomba sana Mama, Nimempenda jiamini Na haja yangu kubwa, kujenga family Everybody, anampendaaa (Mamama) Everybody, anampendaaa (Mamama) Everybody, anampeeendaaa (Mamama) Everybody, anampendaaa (Mamama) I work hard, everyday To feed my children, and pray, everyday Majukumu ya familia I work hard Nimemfunza, kutunza heshima Ametuliaa, na nzuri tabia Hata ukimuoa, hutojutia She works hard I work hard Everybody, anampendaaa (Mamama) Everybody, anampendaaa (Mamama) Everybody, anampeeendaaa (Mamama) Everybody, anampendaaa (Mamama) Mama mama mama mama mama mama mamaaa Mama mama mama mama mama mama mamaaa Mama mama mama mama mama mama mamaaa Mama mama mama mama mama mama mamaaa Akilia mama (Akilia Mama), Mawazo ya mama, Yanafanya kazi Akilia mama (Akilia Mama), Mawazo ya mama, Yanafanya kazi Akilia mama (Akilia Mama), Mawazo ya mama, Yanafanya kazi Akilia mama (Akilia Mama), Mawazo ya mama, Yanafanya kazi Everybody, anampendaaa (Mama aah) Everybody, anampenda (Mama aah) Everybody, anampenda (Mama aah) Everybody, anampenda (Mama aah)