Yesu
Mamajusi Choir
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Halleluya Bwana Yesu
Tunaomba Roho wako mtakatifu
Akashuke kama ile siku ya Pentekoste
Ile siku ya pentekoste uliposhuka
Nguvu yako nayo ilishuka
Wingu lako nalo likashuka
Tunakuhitaji Yesu
Yesu (Yesu)
Yesu (Yesu)
Yesu (Yesu)
Yesu (Yesu)
Nakuhitaji (nakuhitaji mponya
wangu) Mponya wangu usinipite (usinipite)
Eeh nakuhitaji (nakuhitaji mponya
wangu) Mponya wangu (usinipite) usinipite Yesu
Halleluya (Yesu)
Yesu (Yesu)
Yeeee (Yesu Yesu)
Nakuhitaji (nakuhitaji)
Mponya wangu(mponya wangu)
Usinipite (usinipite Yesu)
Unapodhuru wengine usinipite(nakuhitaji mponya wangu usinipite)
Nakuhitaji ila usinipite Bwana Yesu
halleluya(nakuhitaji mponya wangu usinipite)
Umegusa wengi kwa mkono wako wenye nguvu eeeh
Roho mwema karibu kwangu(karibu hata leo kwenye ndoa yangu)
Karibu kwwnye elimu yangu (roho mwema
karibu kwangu) karibu leo kwenye ibada hii
Karibu leo kwenye uimbaji wangu (roho mwema karibu kwangu)
Roho mwema karibu kwangu (nakuhitaji Yesu)
Tembea nami, niongoze kwa nguvu zako Bwana
Aah msalaba wako umeponya wengi, Bwana Yesu tembea leo
Tembea kwa mjane huyu tembea kwa yatima huyu
Wengi wanalia hawana kazi roho mtakatifu
Wakatembee na wingu lako la utukufu Yesu
Jehova (jehova shama)
Jehova (jehova nisi)
Jehova (nakwita Yesu)
Jehova (nakuhitaji Yesu)
Nakuhitaji mponya wangu (unigusee)
Karibu kwangu (niguse Bwana kwa nguvu zako)
Ninalia uniguse Yesu (nakuhitaji mponya wangu)
Eeeeeeh (karibu kwangu) karibu Yesu
ingia moyoni mwangu utawale maisha yangu
Jehova (jehova nisi jina lako)
Jehova (jehova nisi)
Jehova (jehova shama)
Jehova nakuhitaji mponya wangu
Hakuna kama wewe Yesu (karibu kwangu)
Karibu Yesu (nakuhitaji mponya wangu) karibu Yesu karibu baba
Karibu kwangu (nakuita baba)
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Mtetezi wangu
Mtetezi wangu
Nakuhitaji mponya wangu (nakuhitaji Yesu)
Karibu kwangu (karibu sasa bwana)
Karibu leo Yesu (nakuhitaji mponya wangu)
Wewe ni mzuri kuliko mume wangu (karibu
kwangu)Wewe ni mzuri kuliko watoto wangu
Karibu Yesu (mtetezi wangu)
Mtetezi wangu Nakuhitaji mponya wangu
Halleluya (karibu kwangu) usio na unafiki
Oooh(nakuhitaji mponya wangu) nina jambo jipya bwana
Nina jambo jipya leo (karibu kwangu)
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Halleluyaa asante Yesu wewe ni Mungu
mkuu Hakuna wa kulingana na uweza wako
Peke yako ni Mungu hata usipojibu
maombi yangu wewe ni bwana wa majeshi
Hata usiponipa ninachokitaka bado wewe ni Mungu kwangu
Eeeh Yesu hakuna kama wewe unastahili Yesu
Angalia mama mjane huyu
amenyang'anywa mali zake bwana Yesu tawala kwake
Mtetezi wangu
Mteteze wangu (eeeh)
Nakuhitaji mponya wangu (nakuhitaji Yesu tawala leo bwana Yesu)
Karibu kwangu (bwana Yesu tawala peke yako bwana)
Nakuhitaji mponya wangu (gusa kijana huyu bwana Yesu)
Gusa kijana wa kike huyu bwana ooh (karibu kwangu)
Tazama watoto wako wanalia
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karubu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu
Roho mwema karibu kwangu