Skip to content

Ulimwengu Wa Leo

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mother alinifunza jinsi ya kusimama kukaa chonjo/ I used to get beaten nikikataa kuosha vyombo/ But later then I know that hizi ndo zinanijenga vitu mob zilifanyika some of them I can't remember/wale unaofikiri ni marafiki ndo watakuja kukusaliti/watafurahi ukiteseka ukiwaita hawaitiki but then again nadhani hizi ndo tabia za binadam watakutenga ukiwa umesoya na wajifanye hwakufaham