Skip to content

Inde

Popularity · Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Sipendi watiaji Niko gauge niko gendo niko maji Niko fly ligi soo katikati Natoka far buda cheki patipati Baby kwa club hunihati Mi hupenda ma mama fatty fatty Mi huchana mogoka si mambati Just give me 5 wacha wasi wasi Walidai tuko nnje Kumbe tuko inde inde inde Walidai tuko nnje Kumbe tuko inde inde inde We washa we washa tu Kumbe tuko inde inde inde We washa we washa tu Kumbe tuko inde inde inde Bazenga niko area ka umbwa koko Nina nyoka ndani ya toja kolombo Ukifika ligi niko ndo utaknow bro Kuna vitu siwezi fanya ata nikiwa kwa ndoto Ka kuchoma mboto Kuchasee vodoo Kunyimana lolo Na kudim kikolo Step out all black ka blade na zoro Wasanii bani tushawatoa kwa soko Kiset na ukipuff na ukipass bila zogo Undercover nishachora form jo ka kilogo Goro tupu hapa hakuna copper nani Alinishuku ati nilimwaga ndani Plan A hurricane, plan B tsunami TK nasongaga na kijeshi flani Nipe, nipe nipe puss Nipe, nipe nipe puss Class 5 science ilikuwa na njaro Kutuonyesha vagina ndani ya daro Mode ameweza kivako Mini ingine naona hiyo mtaro Uko na thithi kwa bonemarrow Aftersex kucuddle ka wheelbarrow Stori zangu za miti hazikuwangi chocha Nahitaji orenting kisa upate coma Alenjendro mister bakora Uliza obako alikuwa golfer Chuo za kumi tao hukuwa na aroma Aroma ya kishada, aroma ya kishada Walidai tuko nnje Kumbe tuko inde inde inde Walidai tuko nnje Kumbe tuko inde inde inde We washa we washa tu Kumbe tuko inde inde inde We washa we washa tu Kumbe tuko inde inde inde