Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
U Mwema Wakati Wote
Christina Shusho
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
U MWEMA WAKATI WOTE โ CHRISTINA SHUSHO
U mwema wakati wote x 2
U mwema U mwema
Umwema wakati wote
Wacha nikuabudu wakati wote
Nikusifu wakati wote
U mwema U mwema
Yesu u mwema wakati wote
Rafiki wa karibu wakati wote
Usiye na mwisho wakati wote
Alpha na omega mwanzo na mwisho wewe
Yesu u mwema wakati wote
U mwema U mwema
Umwema wakati wote
Ewe mwalimu mwema
Mchungaji wangu
Nakupenda Yesu
Eh Yesu mwema
Wewe mfalme mwema
ย