Skip to content

Kwa Ngwaru

Harmonize, Diamond Platnumz
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mmhh I wish ningekuwaga na mavumba, Mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani Ama niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami Mhhh my darling I need your love ooh Uwe nami, haki ya Mungu nakupenda Nobody can show you love ooh Usiwaamini, ukishawapa wanakwenda Mmhh I wish ningekuwaga na mavumba, Oh basi jilegeze nikubebe mgongoni (iyelewi) Deka nikudekeze, nikutunze kama mboni (iyelewi) Wakija wapoteze, jifanye kama huwaoni (iyelewi) Kisha uniongeze ulivofunzwa unyagoni (iyelewi) Ooh baby, asa dance nikuone (kwa ngwaru) Uwabamijo (kwa ngwaru), ululufemi (kwa ngwaru) Ooh baby, asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Wabamijo (kwa nwaru), basi cheza na mimi (kwa ngwaru) (Diamond) Agha, moyo wangu wa muarobaini Mchungu ukiuziwa Samehe mara sabini, huo uzungu sijajaliwa Ukipenda chunga majini, kwenye uvungu pale niwa Kumbatie baridini, kwenye tundu kama njiwa Moyo wangu ni wa makuti, usinijie na kiberiti (asa wee) Penzi likageuka chuki, nyumba ikawa Kibiti (asa wee) Nipatie vya kitandani, nipe mpaka kwenye kiti (asa wee) Ili asiniingie shetani, nawe nikaja kuku-cheat Oh basi jilegeze, nikubebe mgongoni (iyelewi) Kitandani nikoleze, kwa miuno ya Kingoni (iyelewi) Kisha nibembeleze, nirudishe utotoni (iyelewi) Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni (iyelewi) Oh baby asa dance kidogo (kwa ngwaru) Ooh wabamijo (kwa ngwaru), ululufemi (kwa ngwaru) Ooh baby asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Uwabamijo (kwa ngwaru), basi cheza na mimi (kwa ngwaru) (Diamond, Harmonize) Agha, unataka kucheza chura na ingali umesimama (aa inama inama) Asa waonyeshe (aa inama inama), unachezaje (aa inama inama) Unataka maji ya kisima na muoga wa kuchutama (aa inama inama) Hebu waonyeshe (aa inama inama), unachotaje (aa inama inama) Unataka kupiga deki, wima umesimama (aa inama inama) Hebu tuonyeshe (aa inama inama), unapigaje (aa inama inama) Si unataka vya pool table sa mbona unajibana (aa inama inama) Hebu tuonyeshe (aa inama inama), unalengaje (aa inama inama) (Diamond) Hii! oya wanangu wa Kigogo (aa inama inama) Nipe za Mose Iyobo (aa inama inama) Vunja vunja kidogo (aa inama inama) Aa niongeze mikogo (aa inama inama)