Skip to content

Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Official Audio)

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Aah, aah, aah Yammi, Yammi (Ooh, taabani) (Mafeeling Make It) Aah-ah Ah, ka' kasoma VETA, ye' ni fundi wa mambo Atwanga pepeta kwa vya juu viwango Oho, raha naserereka (selele) mahaba hayaishi bando Chumbani hekaheka vita ya unyago na jando Ooh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani Raha zimenipumbaza mie hoi taabani Magharibi natafuta sababu Bibi namtafuta babu Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu Nitadumu nae kwa nguvu za manane Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani Nitadumu nae kwa nguvu za manani Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani (Ooh), ooh (la-la-la), la-la-la (aah), aah So dawa za China si mizizi ya Congo (ya Congo) Nampa mchai chai na supu ya kamongo Oho, full stamina anibeba kwa mugongo (mugongo) Mambo ya kwenye mtima sio kupendana kwa hongo (kwa hongo) Ooh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani Raha zimenipumbaza mie hoi taabani Magharibi natafuta sababu, oh Bibi namtafuta babu Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu Nitadumu nae kwa nguvu za manani (nguvu za manani, nguvu) Jaribuni baadae (ooh), kwa sasa hapatikani (nimemuweka ndani) Nitadumu nae kwa nguvu za manani (poleni miungu watu mahodari wa kutabiri) Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani (hatuachini katu roho zimeungana na miili) Anatembea na roho yangu, anatembea na mwili wangu Anatembea na pumzi zangu, mimi, mimi, mimi Kamix Lizer