Skip to content

Pole

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Na nusder tena (Nusder) Ooh sweet sweet sweet nisikilize Sweet sweet niseme nimaliza Mungu ametukutanisha sweet Anamaana yakee Mungu katuunganisha sweet wewe Kwa neema zake I told my mom i want to marry you Nitakuja kwenu nitoe mahali Mi na we tuanze safari ya mbali kina Mbaazi na choroko utofauti utaujua Jungu juu wake ukoko yanini kukwangua Mie ndama kwako mtoto husije kunikafua Penzi tulipashe moto wakigusa waungua Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana Wale wenye uchu wa paka ili penzi lawakwama Baby nasikia twawaumiza Pole tunawapa pole Penzi lawakereketa Pole tunawapa pole Ooh hasidi watu wabaya Pole tunawapa pole Wameze panado pengine watapoa Pole tunawapa pole Eeh eheeh Sweet sweet sweet nisikilize Sweet ayiih sweet nami nikujuze Eyh shubiri shubiri chungu honey Nashindwa kuficha siri yetu yachumbani We baba umekithiri mahabani Akili yangu na mwili tahabani Eyh penzi upepo lapepea (pepe) Honey twende mbali (pepe) Kuni nitazichochea (choche) Baby uje tupae walii Mithiri ya watoto mapachaa Tunavyopendana Mambo ya uzungu na usasa Tunayopeana Penzi linavuja kwa pakacha Tunavujiana Wale wenye uchu wa paka Hili penzi lawakwama Baby nasikia twawaumiza Pole tunawapa pole Penzi lawakereketa Pole tunawapa pole Ooh hasidi watu wabaya Pole tunawapa pole Wameze panado pengine watapoa Pole tunawapa pole