Yesu san bra
Various Artists
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Nimetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisa
Binadamu angenipa neema, Kesho hangetaka kunipa zaidi
Lakini wewe hauna kikomo, wala pua yako haina
Bwanaaa
(wanyesha mvua) kwa walio jangwani
Bwanaaa
Wawasha jua kwa walio baharini
Kweli bwana wewe ni mwema sana
Nitasimulia mji
Yesu ni mwema! Yesu ni mwema!
Nitaubiri kijiji
Yesu ni mwema! Yesu ni mwema!
Nitayapambanua haya
Yesu ni mwema! Yesu ni mwema!
Watu wote wapate kujua
Yesu ni mwema! Yesu ni mwema!
Nitasimulia nchi
Yesu ni mwema! Yesu ni mwema!
Niliwaza kwa ubinamu mpaka mwisho wa kufikiri
Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu
Anayekutumaini
Ukata nijipe moyo nisihofu kitu kamwe
Uzoefu wa Mapito haya ukaninyima usingizi
Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu
Kazi za dunia zikavunja matumaini
Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe
Giza lililojaa damu changa nikajifunika usoni
Ukata nijipe moyo nisihofu kitu,
Nikapiga kelele kwa giza kuu likanizonga,
Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe
Naimba eeh
Naimba leooo
Naimba eeh
Naimba Mimi
Ulijua wazi kwamba Mimi sikuwa nastahili
Kwasababu Mimi mdhaifu mwili na rohooo
Ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu
Makusudi ili nione ukuu wako
Ndugu wanipende
Jamaa waniheshimu
Marafiki wanijali
Wanisaidie
Ndymaana Leo Mimi ninakurudishia
Utukufu ni wako milele
Sifa na heshima ni vyako daima
Wewe peke yako unastahili
Usifiwe na uhimidiwee
Nakushukuru bwana kwa kuwa umeniona Ahsante! Ahsante!
Nakupa utukufu
Kwa kua umeniona asante
Milele na milele
Kwa kua umeniona
Ahsante nakushukuru bwana
Kwa kua umeniona
Ahsanteee!