Heshima Na Utukufu
Fanuel Sedekia
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Heshima na utukufu
Na sifa vyote ni vyako BWANA
Matendo yako ni ya ajabu,
Ubarikiwe BABA uhimidiwe
Uliziumba mbingu na nchi
Vitu vyote kwako vikawa vyema
Heshima na Utukufu
Na sifa vyote ni vyako BWANA
Matendo yako ni ya ajabu
Ubarikiwe BABA uhimidiwe
Ulikausha bahari ya Shamu
Israeli wako wakavuka, Heshima
Heshima na utukufu
Na sifa vyote ni vyako BWANA
Matendo yako ni ya ajabu
Ubarikiwe BABA uhimidiwe.
Ulimtuma Mwanao YESU
Aje ulimwenguni aniokoe
Heshima na utukufu
Na sifa vyote ni vyako BWANA
Matendo yako ni ya ajabu
Ubarikiwe BABA uhimidiwe.
Unaokoa na unaponya
Na unajaza Roho Mtakatifu
Heshima na utukufu
Na sifa vyote ni vyako BWANA
Matendo yako ni ya ajabu
Ubarikiwe BABA uhimidiwe.