Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Bump In
Finesse Ngara
Popularity · Low
+
Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Na ninafika mitaani juu nina plan B
Endelea sogelea, ninakam clean
Kesho nikishika maganji ni zuru funky
Wekelea chechemea, tukibump in
Tukibump in, bump in, bump in, tukibump in
Aaah, aaah, tukibump in, bump in, bump in
Tukibump in, aaah, aaah
Mkuruweng, body girl aaah kanadai niwahala
Naughty girl, naughty girl, tufike hadi Kampala
Motirun booty, ndio kapigwe tu banana
Learner, learner, kutoka mbio kaa runner
Sibahatishi na sirogangi na sheng
Na kama ni beef ndakutusi na lugha ya mama
Kucheki gwethe ni madocho amejitepa
Na kando manejai jina shagi ndio kusema
Alakazin, sina hadi na kumeza jing
Pedi hakosi ris na magwangi kujipin
Juu nishabonga fact, ile lugha ya kigwedhe
Ukilewa na lugha, si buda utajipata ndethe aaah
Saii nafika mitaani juu nina plan B
Endelea sogelea na inakam clean
Kesho nikishika maganji ni zuru funky
Wekelea chechemea, tukibump in
Aaah, tukibump in, bump in, bump in, tukibump in
Aaah, aaah, tukibump in
Bump in, bump in, tukibump in
Aaah, Aaah
Mkuruweng, body girl aaah, body kanadai niwahala
Naughty girl, naughty girl, tufike hadi Kampala
Motirun booty, ndio kapigwe tu banana
Learner, learner, kutoka mbio kaa runner
Pale ambapo anarudi tena na tena
Pale ambapo anarudi kuharibu sanaa
Luku luku more, wanapigwa mabond
Boss mi narun kama James mi ni bont
Boss nitafika cheki kesho nitaball
Dosh ni ngumu sikizia si ni warm
Nairobi mi ni don, napiga zile conq
Soshi ni sumu, shikilia nikiflow
Saii nafika mitaani juu nina plan B
Endelea sogelea na inakam clean
Kesho nikishika maganji ni zuru funky
Wekelea chechemea, tukibump in
Aaah, tukibump in, bump in, bump in, tukibump in
Aaah, aaah, tukibump in
Bump in, bump in, tukibump in
Aaah,Aaah
Mkuruweng, body girl aaah body kanadai niwahala
Naughty girl, naughty girl tufike hadi Kampala
Motirun booty ndio kapigwe tu banana
Learner, learner, kutoka mbio kaa runner
Kaps imezaga mitaani saii niko finesse
Pale rima ya me I kuna kifun base
Jab nikupige advice, kuvuta show game
Thikithaga Islando kuna macornmen
Rap ni juakali muziki tabu jamani
Ndio fan bila adabu nashika ganji hadharani
Hii trap ndio itatesa, achia nugu majani
Kabla wodi pale mtaani ianze kumedi na utiaji
Saii nafika mitaani juu nina plan B
Endelea sogelea na inakam clean
Kesho nikishika maganji ni zuru funky
Wekelea chechemea, tukibump in
Aaah, tukibump in, bump in, bump in, tukibump in
Aaaah, aaah, tukibump in
Bump in, bump in, tukibump in
Aaah, aaah
Mkuruweng, body girl aah body kanadai ni wahala
Naughty girl, naughty girl, tufike hadi Kampala
Motirun booty ndio kapigwe tuu banana
Learner, learner, kutoka mbio kaa runner
Toka mbio, toka siaka, toka siaka
Bado si hao ni mawanka, ni mawanka
Mimi si ni tanker, si mganga, mgangaa
Eeeyy, kibompa, with thee romper, with thee ronker
So mi hoodie mark, si unibamba
Kaa ni gang, si ni matumbler
Kaa ni gang gang gaa, na matumbler
Saii nafika mitaani juu nina plan B
Endelea sogelea na inakam clean
Kesho nikishika maganji ni zuru funky
Wekelea chechemea, tukibump in
Aaah, tukibump in, bump in, bump in, tukibump in
Aaah,aaah, tukibump in
Bump in, bump in, tukibump in
Aaah,aaah
Mkuruweng, body girl aaah body kanadai niwahala
Naughty girl, naughty girl,tufike hadi Kampala
Motirun booty ndio kapigwe tu banana
Learner, learner,kutoka mbio kaa runner