Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Sababu Elfu Kumi
Reuben Kigame
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu Jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake
Niinukapo jua siku mpya
INiinukapo jua siku mpya
Nitaimba wimbo wako
Chochote Kijacho
Maishani mwangu
Hadi jioni nitakwimbia
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu Jina lake
Mwingi wa upendo
Mwepesi wa hasira
Jina lako kuu
Moyo mpole
Kwa wema wako
Nitaimba milele
Sababu elfu kumi moyoni
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake
ย
Nasiku ya mwisho
Nguvu zikiisha
Wakati wangu wa kuja kwako
Moyo wangu bado ntakuimbia
Sababu elfu kumi milele
Milele
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu Jina Lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu Jina lake
Abudu Jina lake
Abudu Jina lake
ย
Imba Kabisa
E moyo
Abudu Jina lake
Abudu Jina lake
ย