Sawa
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
mbona kama cha upinzani
kila siku matatizo
inaniathiri ndani kwa ndani aah
naikosa chanjo ooh
acha visa na sononeko la moyo
usingizi sipati
kisa kwako sina maamuzi
mdomo koma
umenipa upofu wa moyo
jicho la nazi mamaa
kwako sioniii eeeh yeeah
nimeshika makali,mpini wewee
sema sawaaaa
sawaaa, sawaaa
eeeh unikate vipande,vipandee
sawaaa, sawaaa
aaaah no
huishiwi kisirani
yanii kila muda umenuna
sasa me ntaongea na nani
i wish ungejua inavyouma
yani bora nilewe usingizi sipatii
kisa kwako sina maamuzi
mdomo koma
umenipa upofu wa moyo
jicho la nazii mamaa
kwako sionii eeeh yeeah
nimeshika makali mpini wewee
sema sawaaaa
sawaaa, sawaaa sawaaaa
eeeh unikate vipande,vipandee
sawaaa, sawaaa sawaa
nimeshika makali,mpini wewee
sema sawaaaa
sawaaa, sawaaa sawaaa
eeeh unikate vipande vipandee
sawaaa, sawaaa sawaa