Skip to content

Madimanga

Trio Mio
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Aaah huh Trio Mio Kuh skrrrrt, Cheki! Mashashola mashida zinaondoka Nikinyanya naskia nimeomoka Biringanya madiva nawakoroga Saa ya doba katika mi naromboswa Stoner madimanga Nikinyanya nafichanga na madigaga Mitishamba najikaranga na vifaranga Nikipanga nakimanga mabiringanya Oya zoza Chapa zuzu chupa kwa kisogo akizua Zogo si huzimanga na dimanga kwa mafua Tiki looku drippy na si mvua, si unajua Mbosho wakisaksua niko tupu nakamua Cheki za manguna wanatunza ka Kamene Cheza na mutaratara cheza na kinembe Wa kwako namdara dara nampiga mavijembe Nimedishi sembe mazgwembe ziko stoner Madimanga Nikinyanya nafichanga na madigaga Mitishamba najikaanga na vifaranga Nikipanga nakimanga mabiringanya Watu moshi na majunkie mabobo shanty Chwani njoti ni ya majani kwa sacco bangi Na mbogi ya wanati waroro matings Ka kinyongi na maarif kikolo swafi Awooh Mashashola mashida zinaondoka Nikinyanya naskia nimeomoka Biringanya madiva nawakoroga Saa ya doba katika mi naromboswa Gode imewaka gode, imewaka Gode imewaka gode, imewaka Kijana huyo, ameririma eish Anaona mbang'a anatoroka mbio Stoner madimanga Nikinyanya nafichanga na madigaga Mitishamba najikaanga na vifaranga Nikipanga nakimanga mabiringanya