Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Raha Tupu
Flamaz
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ona kitu pesa imefanya
Alikua wako sasa ona nimekupokonya
Ayayayaya
Boss wangu zidi ng'ang'ana
Siku moja labda si tutakuja kufanana
Ayayayaya
Niko party, na yule ex wako betty
Na huu wakati, she don't mind playing it dirty
Am a spender
Na hivo napeenda
Mi staki pressure
Leo mi nakesha
Nikiwa na marafiki naskia fiti raha tupu
Na hela mfukoni sishikiki raha tupu
Dj cheza mziki staki kiki raha tupu
Ona vile wanacheza hao mabinti raha tupu
Nikiwa na marafiki naskia fiti raha tupu
Na hela mfukoni sishikiki raha tupu
Dj cheza mziki staki kiki raha tupu
Ona vile wanacheza hao mabinti raha tupu
ย
Easy come easy go
Natafuta hizi doo
Kama si pesa am busy no
Haunipati kwa signal
Mambo shwari
Ukiwa na pesa toka home ukuje party
Ukiviona vyaelea si bahati
Coz am busy chasing paper sina wakati
I don't care about them haters am making money