Skip to content

Kiuno

Kelechi Africana
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Kakiinama kama kamekaa Kashepu kake chupa ya kola Aki ya Mungu mi kananiroga Kakiinama ki mashallah Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Akikubali kwenda nami eeh Mi nakapa vitu yaani mpaka che eh Hunnie zima feni nipepee Kama ni kiu sema maji nikuletee Kakiinama kama kamekaa Kashepu kake chupa ya kola Aki ya Mungu mi kananiroga Kakiinama ki mashallah Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Yaani kashepu kama vile Huddah Nadhani mwaka ujao katafika Vera Yaani kashepu yaani kama ka Hamisa Aki ya Mungu ananimurder yeah Naangalie eh, naangalia kiuno cha Naangalie eh, kiuno cha Jovial Naangalie eh, kiuno cha Nadia Naangalie eh, Kiuno cha Akeelah Kakiinama kama kamekaa Kashepu kake chupa ya kola Aki ya Mungu mi kananiroga Kakiinama ki mashallah Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno Naangalia kiuno eeh, naangalia kiuno