Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
MEZA
Manolo Ke
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Everybody
Everybody everybody go like this
How can I stay silent
When I know that I am
A product of your grace
How can I stay silent
When I know that You my God
Have covered my shame
Jua likasimama
Bahari ukatawanya
Kazi ya mikono Yako Baba
Adui kaniandama
Kataka kunimaliza
Hakutarajia neema Yako
Na sasa meza
Meza Umeandaa
Mbele ya watesi wangu tazama
Na kiti yoo
Kiti na jina langu
Wewe Baba Umeniita Karibu
Ona sasa meza
Meza Umeandaa
Mbele ya watesi wangu tazama
Baba na kiti yoo
Kiti na jina langu
Langu
Wewe Baba Umeniita Karibu
Ule mpango Mungu Anapanga
Siku zote ni mpango mwema
Si wa mabaya
Wakunifanikisha
Na kuniongeza
Katika mambo yote
Japo adui
Alijaribu
Kunizuia
Akasahau
Hatua zangu
Zaongozwa na Mungu
AmeZifanikisha
Ili aone
Meza
Meza Umeandaa
Mbele ya watesi wangu tazama
Na kiti
Kiti na jina langu
Wewe Baba Umeniita Karibu
Meza Umeandaa
Mbele ya watesi wangu tazama
Na kiti
Kiti na jina langu
Wewe Baba Umeniita Karibu
Meza Umeandaa
Mbele ya watesi wangu tazama
Na kiti yoo
Kiti na jina langu
Wewe Baba Umeniita Karibu
ย