Bella
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Bella Bella o
Mbona hunimissi
Sikuhizi
Bella Bella o
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona waniona hivi hivi
Feel it everyday aha
Sema kupitia aha
Sikutarajia aha
Mambo kuchemka
See it day day
Ka kuna gap kuna gap
Ka huioni naiona
Kumebadilika
Vile vile naumia hata ungejua
Hauwezi furahia
Ama nkukosea na huwezi niambia
Ama Umepata mwingine na sijajua
Tafakari tulipotoka ma baby ma baby o
Na ni nini unachotaka ma baby ma baby oh
Bella oh ma Bella
Bella Bella o
Mbona hunimissi
Sikuhizi
Bella Bella o
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona waniona hivi hivi
Bella Bella o
Mbona hunimissi
Sikuhizi
Bella Bella o
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona waniona hivi hivi
Madamoiselle pick up your cell
Tubonge leo tupige story
Maneno mingi sipendelei
Wajua tu Nairobi ngori
Nairobi ngori so ninaworry
Cheka na watu kumbe ni fisi
Ukisurvive big up yourself
Ka uko live big up yourself
Mbona kunizungusha zungusha Zungusha
Mbona kunitatiza
Tatiza tatiza
Mbona kunizungusha zungusha Zungusha
Mbona kunitatiza
Tatiza tatiza
Bella Bella o
Mbona hunimissi
Sikuhizi
Bella Bella o
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona hunimissi siku hizi
Penzi lako lanitia hofu
Mbona waniona hivi hivi