Skip to content

Mabadiliko

Kuzza
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Najicheki kwenye kioo naona mabadiliko Kuzza Najicheki kwenye kioo naona mabadiliko Nawawashia moto wanadhani me ni jiko Wanadhani niko huko kumbe huko mimi siko Nimekuja kivingine nimebadilisha mzigo Kabla sijauza roho yangu bora niuze ata figo Natembea na cha moto siingii kwenye ulingo Ikishindikana legal basi itafanyika illegal Deliveries kibao nazidi kutanua wigo Sijachagua aya maisha yamenichagua mimi Walidhani ni mwingine hawakuamini kua ni mimi Nimeswitch muonekano nishauga umaskini Nimepindua matokea kwene dakika ya tisini Na mtazamo wa tofauti siyumbishwi na madem Kabla sijamwitaji dem kwanza naitaj frame Nivokua mnyonge Sikulaumu mtu nilijiblame Walikua n'chukulia poa walikua wamenicrame Mazingira mapya kweli hii ni level nyingine Maneno yao hayawezi fanya mimi nisile Nakaa kimya sio kwamba sina cha kusema Nawaona nawajua wasiontakia mema Najitajitahidi nisiwe msela mwenye story nyingi Kila mtu anaforce anavojua aingie kingi Mashindano ya wakubwa hii ni big league Nikiitwa kwenye show nataka 6 figs Najicheki kwenye kioo naona mabadiliko Nawawashia moto wanadhani me ni jiko Wanadhani niko huko kumbe huko mimi siko Nimekuja kivingine nimebadilisha mzigo Kabla sijauza roho yangu bora niuze ata figo Natembea na cha moto siingii kwenye ulingo Ikishindikana legal basi itafanyika illegal Deliveries kibao nazidi kutanua wigo Namsumbua starring me ndo jambazi kuu Nanunua na kuuza naongeza cha juuu Me mfanyabiashara ndani ya tie and suit Mama alitoa chozi alivosikia graduuu Nimepiga hatua kubwa itakua ni mguu Kila wanaponiona wanasema duh Uhhh uhh uhhh kumbe nyie mnataka hivi Uhhh uhh uhhh sipo kwenye group nimeleav Kaz kaz piga kazi kama naitwa steve Bora wawe vipofu wasinione naachieve Siwezi sahua ulichofanya ila nshakuforgive Ukiwa broke unachekesha kama datgirlviv Nilikua natoa so sishangai nikireceive Kazi na dawa napambana kutuliza maumivu Nilijua ntablow muda wote nilikua bomb Mazingiria yalinipush sikua na budi kupeform Najicheki kwenye kioo naona mabadiliko Nawawashia moto wanadhani me ni jiko Wanadhani niko huko kumbe huko mimi siko Nimekuja kivingine nimebadirisha mzigo Kabla sijauza roho yangu bora niuze ata figo Natembea na cha moto siingii kwenye ulingo Ikishindikana legal basi itafanyika illegal Deliveries kibao nazidi kutanua wigo