Skip to content

A WEEK (Official Video) | DIR By Zethy.

Mauru Gwash
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week Scene genje kibro alizama deep Nili doz kinenge ikabidi nime peep Niki kosa uradi si unajua nawa sweep Bila ganji si unajua ninakua sick Bado niko trenches nachapanisha ma lick Simbatui ushoste utakula full clip Ka ni pongi sure nina zama deep Nawachai mariambez wenyu nawa pimp Kijabe ndo nasunda niki nga'da scene Zime kashi naji tibu na ma lean Uwezi fika ibe inabaki seen Luku ya ki gwash chini ni ma Keen Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week Anzisha ngori niku kute na kidii Pandisha mori niku zime ka kipii Huku ni mabangi na majangili Chunga husi mix bizz na family Mangori mingi kila mtu enemy Kudakwa na ki glock nikiwa 15 Warazi waki muja wana toka Nil Nishai rowesa adi na ki M16 Nilichujwa rima juu ya ujangilii Niki kosa rada ni ukafirii Unajiona donga na ufikirii Sipendi mbleina hana akili Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week Anzisha ngori una bugda in a week Sifa zangu mbovu zimejazana kwa tweet Nipate niki stash ndenga sina time ya tits Anzisha ngori una bugda in a week