Skip to content

Swagger

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Crownlyric.com Menu SSARU โ€“ SWAGGER lyrics SSARU โ€“ SWAGGER lyrics SSARU โ€“ SWAGGER lyrics Swagger! swagger! Eh swagger swagger (Rico Beatz Mr 808) Hii ya leo Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Swagger eh swagger Hii ya leo swagger Eyoo Ssaru nimekuja na kifua Nacheki mna tatizo nimekuja kulitatua We umetoboa kwa life nimetoboa mapua Ulichumia pazuri mi nikichumia kwa jua aah Pamba pamba Pamba na ni looku ya kikamba Mmh Pamba, mmmh pamba Pamba na ni looku ya kishamba Ah weka, weka (Weka weka) Weka tanda linateta Najigamba mi najua kupepeta Haumjui Ssaru we umeboeka Ah attention mi nawateka Late night talks Kumbe we uko maketepa Mental ghost ndo inaniongelesha Aaah... Na hii ya leo Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger eh swagger Hii ya leo Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger eh swagger We unapenda kujifanya unanijua Sa unajiona n wa kishua Mi si wale wa kuletewa maua Mi ni blush ati bae utaniua Utaniua, mmh kamua Niko baze niko na akina Wayua Rarua we chafua Nabendover ju unataka kufua Fanya kama unachuna majani Ni kama uko kwa shamba la jirani Chutama izamie ndani Usiniite baby niite hunnie Tanda tanda Usiku utanipata kwa kitanda Tanda tanda Cheki Ssaru amedunga nini? Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger eh swagger Hii ya leo Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger swagger Pamba pamba Pamba na ni looku ya kikamba Mmh Pamba, pamba Pamba na ni looku ya kishamba Ah weka, weka Weka tanda linateta Najigamba mi najua kupepeta Haumjui Ssaru we umeboeka Swagger, eh swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger eh swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger, swagger Eh swagger swagger Hii ya leo Swagger Hii ya leo Swagger Hii ya leo Swagger Hii ya leo Swagger