Skip to content

Pwita (Official Lyric Video)

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

(Ayo Lizer) Wa rohoni Ukweli kabisa nakukunda chane Hapa moyoni Peke yako umeka, you are the only one, ayaya Nawataarifu nimempata mwenyewe Huyu ndo anaenifaa haya Na nisitake kitu lazima tu nipewe Msione nawakata aya Nami naahidi (mh, nami naahidi aye) Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe) Sina wa zaidi (ah, sina, sina) Nitakupenda milele, eeh Pwita, pwita, pwita, pwita Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita Pwita, pwita, pwita, pwita Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita Tunaendana, hamuoni hata mkitutazama Tunapendana, mi' nae kufa kuzikana Ananipa tende nampa asali (asali) Mpende msipende wala sijali (sijali) Nami na Nami naahidi (nami naahidi aye) Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe) Sina wa zaidi (ah, sina, sina) Nitakupenda milele, eeh Pwita, pwita (ai jamani) Pwita, pwita (unani pwita mimi) Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita (mh) Pwita, pwita (ai jamanii) Pwita, pwita (likitajwa jina lako) Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita Mh! Wacha Lizer nibakishie Ai wewe mama Eti, iyi, iyi, iyi, iyi, iyi, iyi, ah Haha! Njoo tucheze kompa Oho, oho-oho Oho, oho-oho