Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Msichana Wa Elimu
Daudi Kabaka
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Msichana wa sura nzuri
Kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha
Hata ng'ambo ukaenda ukarudi
...
Msichana wa urembo kama wewe
Uonyeshe mapenzi kwa vijana
Ukionesha majivuno kwa vijana
Utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
Ooh baby
Miaka yaenda mbio sana
Na sura yako ikichuchuka
Ooh baby
Miaka yaenda mbio sana
Na sura yako ikichuchuka
Pengine tabia zako ndizo mbaya
Awali kweli dada ulijivuna
Kwanza mimi nilitaka nikuoe
Ukaringa ati sina masomo
Ooh baby
Ona watoto wa nyumba yako
Wameolewa wamekuacha ukihangaika
Ooh baby
Ona watoto wa nyumba yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
Msichana wa sura nzuri
Kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha
Hata ng'ambo ukaenda ukarudi
ย