Skip to content

Nyaranyara

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Yo free us men Free us men fuck lockdown Fuck hating manze for Real Big beat Afrik wakadinali Afrvka Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya 9 Months unatake kudeliver hatukuonei huruma Huku unless una mimba Ngwai East imepeleka vijana wengi inda It's high time Kenya ikuwe legal Ni heri uangushe kinde CBD njoka Ako rada ukikojoa atakushika Mr at least try jo kubehave Sitaki damu imwagikie my linen T-shirt Naskia mnanitafuta huh! Mpaka mnanifuata kwa duka Stepper mi hukanyaga kubwa Ukikuja sana hapa pะตrhaps utakulwa Unafaa kujua nani ndo kushuta Before kunukisha hii mtaa unaweza juta Mbะตpa si hufungia gunga Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga Mi huflip ka beats za Afrika Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller Mabiz za mpini si hupiga Kwani si ata judge alipardon killer Splash splash tukifika Itoka inaspark ma opp wanaitika Trap trap to saa tisa ni mboka Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika Nimeona Subru ikinipita I think kwa hio rounda scene ilipigwa Burus iliskika street iliwika Black alikam akanyambisha Naskia mi mchafu spitter ni ka mi huandika Hizo ngoma kwa pipa Kudus informer though hawakunipata Nilikuwa na operate na Beaper (Kudus) Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Kuna venye Covid naitii kitumoja Daily coro 19 nilinona Cyber ronging in different location Wolan tunaiduingi normal Fake kings nazidi kuwawinda Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan Hii ndo dimba peng ni ayela msupuu Mans na Domani naishi life bila filters Sina hadi maarifa Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga Naye Insta ni Risper Nikihama mi huenda na kamba za nguo I wish ningekuwa KPLC Arif alikuwa MCA, Sai ni MP anarepingi Westy Sikumeet huyo msichana no no Nilidate hio vagina ndoch una manzi mdechu Ushaimwanika kwa mneti hapana I was high in school man a driller Tangu enzi za Insyder Nina ndoto ya maziwa mrefu Inaweza lipa debts zote za Mchina Watch what you are talking kwa pot Timeline yako ina TikTok Nina maboyz Kise huko Ngong Walipanua riko sai wanamanufacture richot Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh) Exactly niliwadanganya For Real heri nitokee siwezi kukutusi Twitter mimi OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi Rudi mjini Wananiita Dangote na mi sijui kwanini Nyong'inyo zangu zinatee Sivui viatu nikiwa kwako mimi Tenje ipotee nishakuwa Hoodini Sanse atokee hii ngwai haizimwi Mi sinanga Fee bado najiamini When you see me better hashtag easy Deep down they wanna be me Hii mtaa chini ya maji niko na dini Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi Wakiniona ni rizla na ganja Nikishawachoma girimba narambwa Mama mboga anachezaga na rada Alinicall akanishow safisha unasakwa Ju nina niggas waliiba na ALBABA Pandishaga middle finger kwa media na cover Vijana walikosa riba na rada Ilikuwanga ni mchana wakikimbiza mambang'a Sio easy getting this shilling Me na bro kitchen we be distilling Yeah I told you if you see him, you see me I was not there but it gave you the Same feeling undercover Google search Undercover msupa acheze bubu tukifuck Ka anakanja crew inakam Wakiletanga ujanja crew inakam kuburn