Skip to content

Niite Basi

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo niza kwangu Njoo njoo njoo njoo oooh yeah Unaponita mpenzi joslin napata wazimu Isitoshe baby pale unaponichumu Mwili unasimuka then napoteza fahamu baby ningefanya nn Washiskaji zangu daily me wanacheka Jinsi mpenzi ulivyo nikeka Wansema siku moja utanitoroka Alafu Me nitabaki teseka Ukifanya hivo baby ni vibaya hivoo Utanitesa me baby ni vibaya hivoo Hata nkiwaona masela nitaona soo Nitee basi mpenzi we ndo kipenda roho Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo unipe nafasi Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo niza kwangu Njoo njoo njoo njoo oooh yeah Me nataka twende zetu kwa wazazi Lakini mpenzi ubadilishe mavazi Kusudi tukifikapo wasipate kipingamizi Njoo basi njoo wangu mpenzi Nitafurahi ukiwaona ndugu zangu Bibi na babu baba na mama angu Ninauhakika watakuombea kwa mungu Maisha yako yote yasiwe machungu Napenda pozi zako baby unaposhika dred Napend unavyo blaise macho yako yako yako light Napenda unavyoshake kiuno chacko kama Ray c Napenda unavyo nambia ukwel Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo me nipate nafasi Chorous Yeah usione kama naropoka me niko real Inamaana ndo unataka sema hata haunifeel Skiza baby gal In fact am dying Naomba unielewe me ni kwenye line Ndo maana daily nataka niwe nawe siwez kuishi maisha Peke yangu bila ww nitaenjoy vip wakati nko mwenyewe Ni viti nitafurahi wapi nitajidai Nishachunguza round wengi wliopita na Wake zao waskaji zangu wa home wana ndoa zao Niite basi mpenzi ili we uwe wangu Mungu akipenda naamini uatkua kwangu Chorousร—4