Skip to content

ANAPIGA PIC

YBW Smith
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Yoh cheki Ei ei Tano nane Skia Ei Ei Ei Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire Jo dance kwa hii tune nikiroga beat So manze hepa si watu wanabreak up Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire Jo dance kwa hii tune nikiroga beat So manze hepa si watu wanabreak up Yoh manze hepa si watu wanabreak up Kuna watu wawili wawili wanachezwa Na bro ni mara ngapi unamwita ukilengwa Na kama hujai notice fathela alimteka Siku hizi kwela wako ni kulalia tu pesa Mabuda wa vitambi ju ya prado si Impreza Na nguna akiwa maji anatekwa bila pressure Form zake za kulewa Zi hupandisha temper Sare stori mingi tulikutana December Ukimuona ako na daro, we jua kuna mambo Kitu one time, ka ni biz akule vako Backdoor tuko jamdown ni kulight up Mi nadai short fine ass na mabundles Baby calm down bado una whine Kuzidisha morio wake fine ye ni lightskin Yaani dem kitu safi Huwezi fikiria mara mbili ulale ndani Napatana na Wendy anapanga ju ya wikendi Anadai aende club ashikishe hizo vibeti Vibeti za masponyo akitingisha kiuno Anadai ashike ball ndo apelekwe mpaka Europe Stori za uongo Ju sponyo ni wa kiyolo Anadunga hadi magoro Na kwela ni mamboto Achachishe kwa mamorio Ifikie hadi mokoro Na doba zangu genje kuteka mtoto wa Sonko Mtoto ni kisonko Anapiga pic ndani ya nyumba Na bado ananimaliza Tukiskiza reggea ikitubeba Tukiwa matire jo Dance kwa hii tune Nikiroga big song Manze hepa si watu wanabreak up Anapiga pic ndani ya nyumba Na bado ananimaliza Tukiskiza reggea ikitubeba Tukiwa matire jo Dance kwa hii tune Nikiroga big song Manze hepa si watu wanabreak up Yoh manze hepa si watu wanabreak up Ah cheki mamaz naskia tifi Umekuwa nditni zishike ukose usingizi BuruBuru niko ngwethelize na wazingting Mratish na mangeus jo ni party jo On a Monday nipate jaba na mashash Twende Tuesday nipate na ule matha tukidance Fika Wednesday nikiroll tu mashash Thursday nipate party Na Friday kazoze Si uongo tulipataa soko Anakam juu ya mangoto Anadai ye ni poko Na bado siamini amekuja na mawhiskey Anadai twende missing Twende Eastleigh Mzee Ali cash money Nipate na kimali umedungia mali safi Na ghetto ka ni bani unabakishwa na shati Namba nane, nipate baze tano nane 12'Oclock juu ya sana Anapiga pic ndani ya nyumba Na bado ananimaliza Tukiskiza reggea ikitubeba Tukiwa matire jo Dance kwa hii tune Nikiroga beat So manze hepa si watu wanabreak up Anapiga pic ndani ya nyumba Na bado ananimaliza Tukiskiza reggea ikitubeba Tukiwa matire jo Dance kwa hii tune Nikiroga beat So manze hepa si watu wanabreak up