Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz (Official Music Video)
Diamond Platnumz
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Hhhhmm Oooh no! no! no!
Jay once again
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni ka napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing sing
Nishakolea hatari mapenzini
Tamu pipi ya kijiti (aanhaaa)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya Mkeka
Penzi halishikiki (aanhaaa)
Linavyotetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi Nnavyocheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz na mimi
Na sio ndumba waala raha tuu zimenizidi
ย
Sio mambo ya mitala penzi mwenye nafaidi
ย
Ooh! nalishwa nalala, nakumbatwa kwa baridi
ย
Usinione nang'ara natunzwa Alhabibi (Oooh oooh)
ย
Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea
ย
Marafiki huwa ni nyoka, hivyo chunga wanayo ongea
Nikandekande nikichoka, sio narudi unanifokea
ย
Wenda mwenzio nilipotoka, mambo fyongo hayaja ninyokea
Tamu pipi ya kijiti (aanhaaa)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya Mkeka
Penzi halishikiki (aanhaaa)
Linavyotetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi Nnavyocheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz nami
Mapoz nami Mi na mapoz na mimi
Ngoja, huu ni usiku au mchana
Hold up, hii ni leo au ni jana
Mapoz nami, aah unanikumbusha ujana
Roho unavyoirusha ntakuja kufa msichana
Nimepagawa uwanjani na sijui ngapingapi
Refa ni nani mbona mpira hauji kati
Nichague kijani, yellow au papi
Au nije muda gani ili niende na wakati
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show mpaka nasahau show (Aaah wee!)
Unanchanganya kwenye roho
Usije kun'danganya No!
Weka penzi niweke Doo (Aaah wee!)
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi (Eyoo Zombie)
What it do?
We back
Number moja moja moja moja
Hii ni sauti ya Rais
Yani President
Haujui
ย